Vita Baina Ya Waumini Na Makafiri
أعرض المحتوى باللغة العربية
Mada hii imezungumzia vita baina ya waislam na makafiri,na jinsi alivyo pigana mtume rehma na amani ziwe juu yake na msimamo wa mtuma kwa viongozi wa kiquraish.