×
Mada hii inazungumzia namna ya kutawadha, dua baada ya udhu, yanayotengua udhu, adabu za udhu na ibada zinazofanywa na mtu mwenye udhu.