×
Image

FADHILA YA SUNNA ZA MTUME S A W - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Umuhim wa kufuata suna za Mtume (s.a.w), imezungumzia pia malipo ya wenye kunusu sunna.

Image

Masharti nane ya hijabu - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: masharti nane ya hijabu ya mwanamke wa kiislam, pia imezungumzia dalili katika Quraan na sunna juu ya hijabu ya mwanamke na uwajibu wa mwanamke kukaa nyumbani.

Image

WASIA KWA WENYE KUFUNGA RAMADHAN - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia wasia muhimu kwa mfungaji yakiwemo mambo anayo takiwa kuyafanya namambo ambayo hatakiwi kuyafanya mtu alie funga.

Image

SHARTI ZA KUSIHI KWA FUNGA - (Kiswahili)

Mada hi inazungumzia sharti za kuswihi kwa funga na baadhi ya maswali na majibu katika mambo muhimu ambayo yanawatatiza baadhi ya waislam.

Image

MILANGO YA KHERI KATIKA RAMADHANI - (Kiswahili)

Mada hii inazungumziya milango ya kheri inayo patikana katika mwezi mtukufu wa ramadhani na namna ya kuipata milango hiyo.

Image

FAIDA YA KUSAMEHE NA HASARA YA KUTOSAMEHE - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia: Ubora wa kusamehe unapokuwa na uwezo wa kulipiza kisasi, na njia za kujiepusha na hasira.

Image

KWANINI TUNAOGA JANABA? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia utofauti wa janaba na mkojo katika sheria ya kiislam

Image

ZINGATIENI ENYI WATUMIAJI WA SIMU ZA MIKONONI NA INTERNET. - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hatari na khasara ya matumizi mabaya ya simu za mikononi na internet

Image

HALI YA KABURI NA VITISHO VYAKE - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia hali za watu wema na waovu Makaburini na vitisho vya Kaburi.

Image

NI YUPI RAFIKI MWEMA? - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia umuhim wa kutafuta rafiki mwema

Image

KINGA YA KILA SIKU DHIDI YA SHETANI, UCHAWI, HUSDA NA KILA UBAYA - (Kiswahili)

Mada hii inazungumzia namna ya kujikinga na kila balaa na ubaya.

Image

ADABU ZA KULA - (Kiswahili)

Mada hii inazunguzia adabu na dua ya kula